Ufafanuzi msingi wa halali katika Kiswahili

: halali1halali2

halali1

kivumishi

  • 1

    -enye kukubalika na sheria au kanuni zilizowekwa.

    ‘Bei halali’

Ufafanuzi msingi wa halali katika Kiswahili

: halali1halali2

halali2

nomino

  • 1

    kitu au jambo linalotambuliwa kuwa ni la mtu.

    ‘Halali yako’
    haki

Asili

Kar

Matamshi

halali

/halali/