Ufafanuzi wa halalisha katika Kiswahili

halalisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya iwe halali.

    idhinisha

Asili

Kar

Matamshi

halalisha

/halaliāˆ«a/