Ufafanuzi wa halasa katika Kiswahili

halasa

nominoPlural halasa

  • 1

    Kibaharia
    ujira wa mabaharia baada ya kukata madeni kutoka kwenye hisa zao.

  • 2

    mshahara wa wanamaji.

Asili

Kar

Matamshi

halasa

/halasa/