Ufafanuzi wa halifa katika Kiswahili

halifa, khalifa

nominoPlural mahalifa

  • 1

    cheo alichopewa kiongozi wa dini ya Uislamu wakati wa Mtume Muhammad (s.a.w.).

  • 2

    kiongozi wa tarika za dini.

  • 3

    kiongozi wa baadhi ya ngoma, hasa za pungwa.

Asili

Kar

Matamshi

halifa

/halifa/