Ufafanuzi wa halijoto katika Kiswahili

halijoto

nominoPlural halijoto

  • 1

    kiwango cha joto kilichoko katika hewa au mwili wa kiumbe.

    ‘Halijoto ya Dar es Salaam ni nyuzi 30’

Matamshi

halijoto

/haliʄɔtɔ/