Ufafanuzi wa halilungi katika Kiswahili

halilungi

nominoPlural halilungi

  • 1

    dawa ambayo ni ya punjepunje kama vile mtama.

  • 2

    dawa inayotumiwa kupunguza nguvu ya msahala inapotengenezwa.

Matamshi

halilungi

/halilungi/