Ufafanuzi msingi wa halisi katika Kiswahili

: halisi1halisi2halisi3

halisi1

kitenzi elekezi~ia

 • 1

  lingana na gharama ya bei.

  ‘Kitu hiki hakihalisi shilingi kumi’

 • 2

  ‘Haihalisi wewe kucheza sasa’
  faa

Asili

Kar

Matamshi

halisi

/halisi/

Ufafanuzi msingi wa halisi katika Kiswahili

: halisi1halisi2halisi3

halisi2

kiingizi

Asili

Kar

Matamshi

halisi

/halisi/

Ufafanuzi msingi wa halisi katika Kiswahili

: halisi1halisi2halisi3

halisi3

kivumishi

 • 1

  -enyewe.

  ‘Ndugu halisi’
  kindakindaki

Asili

Kar

Matamshi

halisi

/halisi/