Ufafanuzi wa halwaridi katika Kiswahili

halwaridi

nominoPlural halwaridi

  • 1

    uturi uliotengenezwa kutokana na maua ya mawaridi.

Asili

Kar

Matamshi

halwaridi

/halwaridi/