Ufafanuzi wa halwoho! katika Kiswahili

halwoho!, holwaho!

kiingizi

  • 1

    tamko la kuonyesha mshangao.

    lahaula!, loo!

Matamshi

halwoho!

/halwɔhɔ/