Ufafanuzi msingi wa hamamu katika Kiswahili

: hamamu1hamamu2

hamamu1

nominoPlural hamamu

 • 1

  jengo maalumu linalotumika kuogea na kuchuliwa mwili.

 • 2

  chumba cha kuogea.

  bafu

Matamshi

hamamu

/hamamu/

Ufafanuzi msingi wa hamamu katika Kiswahili

: hamamu1hamamu2

hamamu2

nominoPlural hamamu

kishairi
 • 1

  kishairi

  njiwa

Asili

Kar

Matamshi

hamamu

/hamamu/