Ufafanuzi wa hamanika katika Kiswahili

hamanika

kitenzi sielekezi~ia, ~isha

 • 1

  ona wasiwasi.

  hangaika

 • 2

  sisimka kwa ajili ya kazi nyingi.

 • 3

  sisimka kwa ajili ya kumwona mtu mzuri.

Asili

Kar

Matamshi

hamanika

/hamanika/