Ufafanuzi wa hami katika Kiswahili

hami

kitenzi elekezi

 • 1

  weka katika hifadhi ya.

  linda, tunza, angalia, hifadhi

 • 2

  amia

 • 3

  saidia, tetea

Asili

Kar

Matamshi

hami

/hami/