Ufafanuzi wa hamia katika Kiswahili

hamia

kitenzi elekezi~ana, ~ka, ~lia, ~sha, ~wa

  • 1

    fuatia mtu.

    vamia, hujumu

Matamshi

hamia

/hamija/