Ufafanuzi wa hamu katika Kiswahili

hamu, hamumu

nominoPlural hamu

  • 1

    hali ya kutaka kupata kitu fulani; kutaka sana.

    ‘Kuwa na hamu’
    uchu, hanjamu, muhu

Asili

Kar

Matamshi

hamu

/hamu/