Ufafanuzi msingi wa hanamu katika Kiswahili

: hanamu1hanamu2

hanamu1

kielezi

Asili

Kar

Matamshi

hanamu

/hanamu/

Ufafanuzi msingi wa hanamu katika Kiswahili

: hanamu1hanamu2

hanamu2

nominoPlural hanamu

 • 1

  sehemu ya mbele ya chombo inayokata maji.

 • 2

  upande mrefu wa pembetatu yenye mraba.

  haipotenyusi

 • 3

  Kibaharia
  vipande vya mbao vinapoungana vizuri; mahali ambapo ubao unaungana na mti; maungioni.

Asili

Kar

Matamshi

hanamu

/hanamu/