Ufafanuzi wa handaki katika Kiswahili

handaki

nominoPlural mahandaki

  • 1

    mtaro au shimo kubwa na refu linalochimbwa kwa madhumuni ya kujilinda wakati wa vita.

    ‘Handaki la vita’
    mfereji, kuo

Asili

Kar

Matamshi

handaki

/handaki/