Ufafanuzi wa hangaika katika Kiswahili

hangaika

kitenzi sielekezi~ia

  • 1

    enda huku na huko kwa shughuli.

    yumba, shughulika, kiakia, angaika, taabika, riaria, payapaya, vanga, tapatapa

  • 2

    kuwa na wasiwasi.

    hamanika, gaya, sumbuka, haha

Matamshi

hangaika

/hangajika/