Ufafanuzi wa hanithi katika Kiswahili

hanithi

nominoPlural mahanithi

 • 1

  mtu asiyesimika.

  msagaliwa, kanda, thori

 • 2

  mtu mpumbavu.

 • 3

  mwanamke asiyepata hisi wakati wa kuingiliana.

Asili

Kar

Matamshi

hanithi

/haniθi/