Ufafanuzi msingi wa hanja katika Kiswahili

: hanja1hanja2

hanja1

nominoPlural hanja

 • 1

  kitu chenye rangi ya kahawia kinachofanana na ubani wa kutafuna.

Matamshi

hanja

/hanʄa/

Ufafanuzi msingi wa hanja katika Kiswahili

: hanja1hanja2

hanja2

kitenzi sielekezi~ia, ~ika, ~isha

 • 1

  tembeatembea ovyo.

  tanga, tangatanga

 • 2

  tembea kwa majivuno.

  ‘Askari walihanja kila pembe’
  tamba

Matamshi

hanja

/hanʄa/