Ufafanuzi wa hanjamu katika Kiswahili

hanjamu

nominoPlural mahanjamu

  • 1

    wasiwasi wa kimapenzi.

    ashiki, nyege, muhu, hamu, hawaa, mashamshamu

  • 2

    vitisho au makeke yanayotumika kumtia hofu adui.

Asili

Kar

Matamshi

hanjamu

/hanʄamu/