Ufafanuzi wa haradali katika Kiswahili

haradali

nomino

  • 1

    mbegu za rangi ya manjano ambazo ni kali sana, zinazotumiwa kuungia chakula.

Asili

Kar

Matamshi

haradali

/haradali/