Ufafanuzi wa harage katika Kiswahili

harage

nomino

  • 1

    nafaka ya jamii ya kunde.

Asili

Kaj

Matamshi

harage

/haragw…õ/