Ufafanuzi wa harakati katika Kiswahili

harakati

nominoPlural harakati

  • 1

    juhudi zinazofanywa na watu kwa ajili ya kufikia lengo fulani.

    ‘Harakati za ukombozi wa Afrika’
    mapambano

  • 2

    shughuli za kazi za nchi, serikali, n.k..

Asili

Kar

Matamshi

harakati

/harakati/