Ufafanuzi wa harakisha katika Kiswahili

harakisha

kitenzi elekezi

  • 1

    fanya jambo liishe upesi; ongeza mwendo.

    angusa, himiza

Asili

Kar

Matamshi

harakisha

/harakiāˆ«a/