Ufafanuzi wa harambee! katika Kiswahili

harambee!

nominoPlural harambee!

  • 1

    mwito wa kutia moyo watu ili kuweza kusukuma au kuvuta kitu kizito kwa pamoja.

  • 2

    mwito wa kuwahamasisha wananchi kushirikiana kuchangia maendeleo yao, uliohimizwa na aliyekuwa Rais wa kwanza wa Kenya, Mzee Jomo Kenyatta.

Matamshi

harambee!

/harambɛ:/