Ufafanuzi wa harara katika Kiswahili

harara

nominoPlural harara

 • 1

 • 2

  wepesi wa kukasirika.

  hamaki, mori, ghadhabu

 • 3

  vipele vidogovidogo vinavyomtoka mtu mwilini kwa sababu ya joto.

 • 4

  michubuko ya mapaja kwa sababu ya joto.

  ‘Shikwa na harara’

Asili

Kar

Matamshi

harara

/harara/