Ufafanuzi wa haribifu katika Kiswahili

haribifu

kivumishi

  • 1

    -enye kuharibu; -a kubananga.

  • 2

    badhirifu

Matamshi

haribifu

/haribifu/