Ufafanuzi wa haribika katika Kiswahili

haribika

kitenzi sielekezi

  • 1

    kuwa katika hali mbaya au mbovu.

    ‘Gari langu limeharibika’
    peketeka, vunda

Matamshi

haribika

/haribika/