Ufafanuzi wa harimuni katika Kiswahili

harimuni, harimoni

nomino

  • 1

    kodiani
    and → kinanda

  • 2

    ala ya muziki ya kupulizwa mdomoni na kushikwa mikononi; kinanda cha mdomo.

Asili

Kar