Ufafanuzi msingi wa hariri katika Kiswahili

: hariri1hariri2

hariri1

nomino

 • 1

  nyuzi zinazotokana na viwavi vya nondo.

  ‘Kitambaa cha hariri’
  ‘Nguo ya hariri’
  ‘Amevaa hariri’

Matamshi

hariri

/hariri/

Ufafanuzi msingi wa hariri katika Kiswahili

: hariri1hariri2

hariri2

kitenzi elekezi

 • 1

  soma maandishi na kuyasahihisha, kuyarekebisha na kuyapanga kwa ajili ya kuchapa katika gazeti, kitabu, n.k..

Matamshi

hariri

/hariri/