Ufafanuzi wa harubu katika Kiswahili

harubu

nomino

  • 1

    hali ya kutokuwa na raha.

    taabu, adha

  • 2

    vita

Matamshi

harubu

/harubu/