Ufafanuzi wa hashakum! katika Kiswahili

hashakum!, ashakum!

kiingizi

  • 1

    neno ambalo hutumika katika kuombea msamaha kabla ya mtu kusema jambo ambalo linaweza kumkirihi mtu aliyepo mahali hapo; niwie radhi kwa jambo nitakalolisema.

Asili

Kar

Matamshi

hashakum!

/ha∫akum/