Ufafanuzi msingi wa hashiri katika Kiswahili

: hashiri1hashiri2

hashiri1

kitenzi elekezi

  • 1

    kusanya watu pamoja mahali fulani.

Matamshi

hashiri

/ha∫iri/

Ufafanuzi msingi wa hashiri katika Kiswahili

: hashiri1hashiri2

hashiri2

kitenzi elekezi

  • 1

    haribu kwa kitendo cha kuingilia.

Matamshi

hashiri

/ha∫iri/