Ufafanuzi wa hashuo katika Kiswahili

hashuo

nominoPlural mahashuo

  • 1

    pahali mtu alipozoea sana kukaa.

    makao, nafasi

Matamshi

hashuo

/ha∫uwɔ/