Ufafanuzi msingi wa hasi katika Kiswahili

: hasi1hasi2

hasi1

kitenzi elekezi~ia, ~ika, ~isha, ~iwa

  • 1

    ondoa au haribu mapumbu ya mwanamume au ya mnyama dume.

Ufafanuzi msingi wa hasi katika Kiswahili

: hasi1hasi2

hasi2

nominoPlural hasi

Fizikia Kemia
  • 1

    Fizikia Kemia
    thamani ya kitu iliyo ndogo kuliko sufuri.

    ‘Chaji hasi’

Matamshi

hasi

/hasi/