Ufafanuzi wa hasua katika Kiswahili

hasua

nominoPlural hasua

  • 1

    fuko la nyama lenye gololi mbili lililo chini ya uume.

    kende, kodo, korodani

Asili

Kar

Matamshi

hasua

/hasuwa/