Ufafanuzi msingi wa hata katika Kiswahili

: hata1hata2

hata1

kiunganishi

 • 1

  ‘Utaendelea kuteseka hata lini?’

 • 2

  ‘Hutaki kukaa nasi hata siku moja?’
  ijapokuwa, ingawa, ijapo, japo, walau

Matamshi

hata

/hata/

Ufafanuzi msingi wa hata katika Kiswahili

: hata1hata2

hata2

kielezi

 • 1

  ‘Maneno haya si kweli hata kidogo’
  kamwe!

Asili

Kar

Matamshi

hata

/hata/