Ufafanuzi wa hatia katika Kiswahili

hatia

nominoPlural hatia

  • 1

    kosa linalostahili adhabu.

    ‘Patikana na hatia’
    ‘Tia hatiani’
    kosa

Asili

Kar

Matamshi

hatia

/hatija/