Ufafanuzi wa hatimkato katika Kiswahili

hatimkato

nomino

  • 1

    uandikaji wa haraka kwa kutumia alama zinazoandikika upesi.

Matamshi

hatimkato

/hatimkatÉ”/