Ufafanuzi wa hatinafsi katika Kiswahili

hatinafsi

nomino

  • 1

    upendeleo wa mtu katika kufanya jambo bila ya kufuata haki.

  • 2

    jambo la kupendeza mtu nafsi yake mwenyewe tu.

Asili

Kar

Matamshi

hatinafsi

/hatinafsi/