Ufafanuzi wa hawili katika Kiswahili

hawili

kitenzi elekezi

  • 1

    hamisha kitu au mtu kutoka mahali pamoja kwenda kwingine.

    ‘Hawili deni’

Asili

Kar

Matamshi

hawili

/hawili/