Ufafanuzi wa hawili mfanyakazi katika Kiswahili

hawili mfanyakazi

  • 1

    hamisha mfanyakazi fulani kutoka idara, kampuni au serikali moja hadi nyingine kwa muda uliokubaliwa na waajiri hao.