Ufafanuzi wa haya! katika Kiswahili

haya!

kiingizi

  • 1

    nimesikia.

    sawa

  • 2

    neno la kuhimiza au kutayarisha watu kufanya jambo.

    ‘Haya kila mtu tayari!’

Asili

Kar

Matamshi

haya!

/haja/