Ufafanuzi wa hazama katika Kiswahili

hazama

nomino

  • 1

    kishaufu
    and → kikero

  • 2

    kikuku cha puani cha mnyama k.v. ng’ombe.

    shemere

Asili

Kar

Matamshi

hazama

/hazama/