Ufafanuzi wa hazina katika Kiswahili

hazina

nominoPlural hazina

  • 1

    mali au vitu vya thamani vilivyohifadhiwa pazuri.

    ‘Hazina ya bunduki’
    ‘Mweka hazina’

  • 2

    mahali ambapo shughuli za serikali zinazohusu fedha zinaendeshwa.

Asili

Kar

Matamshi

hazina

/hazina/