Ufafanuzi wa he! katika Kiswahili

he!

kiingizi

 • 1

  neno la kumhadharisha mtu.

 • 2

  neno la kudhihirisha chuki au kutopendezwa na jambo.

  ‘He! Kutwa kucha maneno haya hayaishi’

 • 3

  neno la kuonyesha dharau.

  ‘He! Ndiyo nini hiyo?’

Matamshi

he!

/hɛ/