Ufafanuzi wa heleleza katika Kiswahili

heleleza

kitenzi elekezi

  • 1

    acha mtu katika hali ya kushangaa.

    hangaisha, komoa

Matamshi

heleleza

/hɛlɛlɛza/