Ufafanuzi wa helmeti katika Kiswahili

helmeti

nominoPlural helmeti

  • 1

    kofia ya chuma au ya sandarusi ya kukingia kichwa kisidhuriwe na pigo, huvaliwa agh. na waendesha pikipiki, wachimba migodi, askari wanapokuwa vitani, n.k..

Asili

Kng

Matamshi

helmeti

/hɛlmɛti/