Ufafanuzi wa hemkwa katika Kiswahili

hemkwa

kitenzi sielekezi

  • 1

    pandwa na hasira au hamu kubwa.

Matamshi

hemkwa

/hɛmkwa/