Ufafanuzi wa hendeli katika Kiswahili

hendeli

nominoPlural hendeli

  • 1

    mtaimbo wa kuzungushia mashine au injini ya gari.

Matamshi

hendeli

/hɛndɛli/